Hivi huyu anafanya nini uraiani na bado ni kiongozi wkati alituambia wazi kabisa yeye ni wale watu wasiyojulikana wanaopoteza watu? Polisi mnazidi kutuangusha, yaani kila siku mnajipaka matope.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, amewaeleza Wananchi wa Bukoba Mjini kwamba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Kagera hakikujipanga na Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu ndio maana wagombea wa Chama hicho wameamua kuingia mitini na wengine kususia hata kufanya mikutano kwenye maeneo mbalimbali.
Comrade Faris ameyaeleza hayo Novemba 22, 2024 katika mitaa 10 ya kata za Miembeni, Hamugembe, Bilele na Kashai ambako amepita kwa ajili ya kuzungumza na wananchi na kuwanadi wagombea wanaopeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi katika maeneo hayo.
Kuridhiana hivi na Chama A ili Chama A kiendelee kutawala milele na katiba yake ya tangu na tangu na katiba yake ya Chama A inayominya haki za Wananchi na kuminya haki za Chama B, kwa Chama A ni viongozi wa Chama A tu ndio wenye haki ila Wananchi na viongozi wa Chama B hawana haki ndio maana wanawaburuza leo utasikia wamekurupushwa kule kesho kule kushokutwa kule na hawana kwa kwenda kushtaki maana wanajua wanapoenda kushtaki ndipo Chama A walipo unaenda kumshtakia nani akupe nini? Mwisho wa konekuu

Kama wameenguliwa na kubakizwa wachache, si logically ni kwamba CCM ambao hawakuebguliwa watashindwa kwa sababu wana wagombea wengi zaidi kuliko Chadema? Kama kungekuwa na fair play hapo ndipo kungekuwa na ushindani. Lakini ujanjaujanga kama huu si ushindi wenye hadhi ya ushindi. Ni ushindi wa 'goli la mchono'. Ni sawa mwanafunzi aonyeshwe majibu ya mtihani halafu ashinde na ashangilie. Kwangu mimi huyu si mshindi. Mshindi ni yule anayepambana kusoma na kisha kufanya mtihani na bila kuonyeshwa majibu anafaulu. Sasa CCM wanajivuna mahali ambapo hawastahili kujivuna hata kidogo. Kungekuwa chama kinachopendwa kisingekuwa kinatumia mbinu chafu kushinda chaguzi.

FARIS BURUHANI: CHADEMA MKOA WA KAGERA HAWATASHINDA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA LABDA WASHINDE NJAA
📍Bukoba_Kagera
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, amewaeleza wananchi wa Bukoba Mjini kwamba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Kagera hakikujipanga na Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu ndio maana wagombea wa Chama hicho wameamua kuingia mitini na wengine kususia hata kufanya mikutano kwenye maeneo mbalimbali.
Comrade Faris ameyaeleza hayo Novemba 22, 2024 katika mitaa 10 ya kata za Miembeni, Hamugembe, Bilele na Kashai ambako amepita kwa ajili ya kuzungumza na wananchi na kuwanadi wagombea wanaopeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi katika maeneo hayo.
Aidha, comrade Faris amewahakikishia wananchi katika maeneo hayo kwamba Chama pekee kinachoweza kuleta Maendeleo wanayoyataka ni Chama Cha Mapinduzi kwa sababu ndicho Chama kinachopimika kwa sababu ya kazi kubwa iliyofanyika ndani ya miaka mitatu iliyopita katika sekta mbalimbali za Elimu, Maji, Umeme, Miundombinu, Afya na kadhalika.