MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Jun 23, 2021 Thread starter #21 GENTAMYCINE said: UVCCM inayojitambua ( iliyojitambua ) iliishia mwaka 2005 na tokea hapo hadi hii leo kuna UVCCM 'takataka' tupu tu. Click to expand... Hatari
GENTAMYCINE said: UVCCM inayojitambua ( iliyojitambua ) iliishia mwaka 2005 na tokea hapo hadi hii leo kuna UVCCM 'takataka' tupu tu. Click to expand... Hatari
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Jun 23, 2021 #22 Walioteuliwa kuwa Wakuu wa Wilaya mnaowasema walikuwa vyama vya upinzani wote hao kabla ya kwenda kuwa wanachama wa upinzani walikuwa wanachama wa chama chetu pendwa cha CCM kwa hiyo wamerudi CCM.
Walioteuliwa kuwa Wakuu wa Wilaya mnaowasema walikuwa vyama vya upinzani wote hao kabla ya kwenda kuwa wanachama wa upinzani walikuwa wanachama wa chama chetu pendwa cha CCM kwa hiyo wamerudi CCM.