UVCCM ni wakati wa kuingia kwenye Social Media na kueleza ukweli!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Haiwezekani kuwaacha vilaza waliofeli eti ndio news makers huku mitandaoni na kuchukua credits eti wao ndio wasemaji wa Taifa.

Wito wangu kwa vijana makini na waliolelewa na kufunzwa vyema na wazazi pamoja na vyombo vya chama cha Mapinduzi na Serikali kuingia rasmi mitandaoni na kuwapa watanzania na dunia uhalisia wa nchi yetu pendwa mama Tanzania!

Soma Pia:

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Bro usitake nicheke kwani kina luka na joni mbatizaji huwaoni hapa daily? Au wao sio yuuviisisiemu?
20240918_182048.jpg
 
Haiwezekani kuwaacha vilaza waliofeli eti ndio news makers huku mitandaoni na kuchukua credits eti wao ndio wasemaji wa Taifa.
Wito wangu kwa vijana makini na waliolelewa na kufunzwa vyema na wazazi pamoja na vyombo vya chama cha Mapinduzi na Serikali kuingia rasmi mitandaoni na kuwapa watanzania na dunia uhalisia wa nchi yetu pendwa mama Tanzania!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Bro usitake nicheke kwani kina luka na joni mbatizaji huwaoni hapa daily? Au wao sio yuuviisisiemu?View attachment 3099980
Kwi Kwi Kwi
Sometimes jingalao anataka kuwa jinga kweli😂
 
Haiwezekani kuwaacha vilaza waliofeli eti ndio news makers huku mitandaoni na kuchukua credits eti wao ndio wasemaji wa Taifa.

Wito wangu kwa vijana makini na waliolelewa na kufunzwa vyema na wazazi pamoja na vyombo vya chama cha Mapinduzi na Serikali kuingia rasmi mitandaoni na kuwapa watanzania na dunia uhalisia wa nchi yetu pendwa mama Tanzania!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Huku social media hakuna mbeleko ya vyombo vya dola. Ccm pamoja na jumuiya zake wanategemea kufanya uhalifu kwa kushirikiana na vyombo vya dola. Uwezo ww kujenga hoja za kuvutia watu hawana. Na sio kwamba wanashindwa kwa sababu gani, hapana ni kuwa ccm sio chama cha kizazi hiki, hivyo hakina mvuto kwa kizazi hiki.
 
Huko maofisini mwao wanarogana na kuniniana mtu akipata tenda kwa njia halali...uvccm wamebaki kupigania matumbo yao.
 
Akili za kuandika mambo ya maana na kueleweka kwa jamii wanazo hao UVCCM?Acha vichekesho aisee!
 
Haiwezekani kuwaacha vilaza waliofeli eti ndio news makers huku mitandaoni na kuchukua credits eti wao ndio wasemaji wa Taifa.

Wito wangu kwa vijana makini na waliolelewa na kufunzwa vyema na wazazi pamoja na vyombo vya chama cha Mapinduzi na Serikali kuingia rasmi mitandaoni na kuwapa watanzania na dunia uhalisia wa nchi yetu pendwa mama Tanzania!

Soma Pia:

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kama ulisikia Ile statement ya Mwenyekiti wa UVCCM kuhusu mauaji ya Mzee Kibao halafu ukategemea lolote la maana kwao basi una uhitaji mkubwa wa msaada wa afya ya akili.
 
Back
Top Bottom