Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Mar 25, 2025 #1 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekabidhi gari kwa ofisi ya UVCCM mkoa wa Singida ili kusaidia shughuli za kila siku. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Gari hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mh. Halima Dendego leo tarehe 24 Machi 2025.
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekabidhi gari kwa ofisi ya UVCCM mkoa wa Singida ili kusaidia shughuli za kila siku. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Gari hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mh. Halima Dendego leo tarehe 24 Machi 2025.
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,059 Reaction score 2,982 Mar 25, 2025 #2 UVCCM Mkoa wanashangilia kupewa Toyota Alphard gari la starehe, tutafika mbinguni tuko hoi sana
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,690 Mar 25, 2025 #3 Kuna kitu hakiko sawa kwenye hii picha...
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,518 Reaction score 20,492 Mar 25, 2025 #4 Mkalukungone mwamba said: Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekabidhi gari kwa ofisi ya UVCCM mkoa wa Singida ili kusaidia shughuli za kila siku. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Gari hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mh. Halima Dendego leo tarehe 24 Machi 2025. View attachment 3282292 Click to expand... Halima Dendego! Kama nimle vile!
Mkalukungone mwamba said: Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekabidhi gari kwa ofisi ya UVCCM mkoa wa Singida ili kusaidia shughuli za kila siku. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Gari hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mh. Halima Dendego leo tarehe 24 Machi 2025. View attachment 3282292 Click to expand... Halima Dendego! Kama nimle vile!