LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Sasa hivi sa 4 usiku nampigia simu dogo (binti miaka 17 form 4) hadi sasa hivi anasema bado wapo uwanja wa Taifa( kwa mkapa)
Anasema wamezuiwa kutoka ndani ya uwanja kwa sababu ya usalama wao. Wanaogopa wakiwaruhusu wengine wanaweza kupotea au kukomasaviwa na wahuni( bodaboda) etc.
Uvccm toeni tamko sasa hivi tafadhali muwafahamishe wazazi ambao watoto wao bado wapo uwanjani taifa hawajarudi majumbani kwao.
Mimi Binafsi sina tatizo na binti yangu kwa sababu kwangu Mimi utu uzima kwa msichana unaingia at age 14 ( anapo vunja ungo) so to me huyu binti yangu mwenye 17 yrs namuona mtu mzima kabisa anae weza kuji simamia yeye mwenyewe na nilisha mpa wosia muda mrefu sana kwamba she is living for herself not for me. Na kwamba ninamsomesha ili aje aishi vizuri yeye na watoto atakao wazaa.
Na ninaongea nae kwa uwazi kabisa kiasi hana sababu yoyote ile ya kunidanganya kwa sababu kama naweza kumruhusu kwenda " kuchukua daftari" kwa classmate wake mvulana almost every weekend hana sababu yoyote yakunidanganya.
Tatizo lipo kwa baadhi ya wazazi ambao hawana mtazamo wa maisha kama Mimi. Wazazi ambao wana amini mtu mzima eti anaanzia miaka 18.
They are in a very panic mood as I write this thread. Nina classmate wangu dada mmoja wa kichaga katoka kunipigia hapa amechanganyikwia. Yeye anahisi either mtoto wake ana mdanganya au kuna tatizo limetokea huko taifa. (NA HIVI BINTI YAKE ANASOMEA KAMBANGWA BASI DADA WA WATU NDO KAPANIC BALAA BE WACHAGA KAMA MNAVYO HIS MAGONJWA YAO HUWAGA NI PRESHA NA KISUKARI SIKU ZOTE)
So nimeandika Uzi huu kwuaomba serikali na Uvccm kutoa ufafanuzi huo haraka ili kutuliza mioyo ya wazazi.
Mh. JOKATE MWEGELO.
Dkt Gwajima.
Mh. TULIA ACKSON
Maxence Melo
Yericko Nyerere