UVCCM toeni taarifa kwa wazazi wenye watoto wao walio enda kwa Mkapa leo. Mpaka sasa hivi kuna wanafunzi kibao bado wapo ndani ya uwanja wamezuiwa

Ngoja wapigwe yale ya rc mkoa wa ziwani
 
waonekane ccm wanaungwa mkono
 
CCM iache kulazimisha watito kukiunga mkono chama hicho, watoto ni waoga mbele ya wakubwa na viongozi hivyo wito wowote unaofanywa na viongozi watoto huutii wakijua wako salama, ninachoweza kusema kitendo kinachofanyika uwanja wa Mkapa ni ubakaji wa kisiasa na kingefanywa na vyama vingine jeshi la polisi lingeingilia kati.
 
Nipo hiyo binti yako mtu mzima NIMDINYE
 
Hakuna mabinti wanaoliwa mtaani kama hawa mabinti ambao wanaonekana waelewa kwa wazazi wao kwasababu ata kumtoa kwao ni simple wazazi wanajua binti anajielewa 😀😀 na usikute hayupo kwa mkapa yuko sehemu tu ana tinduliwa na mdau mmoja wapo.
 
Wacha aliwe tu Mkuu, kwani anatumia PAPUCHI yako?
 
Hili jambo binafsi limenikera mnoooo watoto wameingia nyumbani saa sita usiku na hata leo bado wazazi wanapiga simu kuulizia kilichojiri kwa watoto wao......upuuzi mtupu

Mtoto wa miaka 14 hadi saa sita usiku uwanjani🤨
 
Hapo kwenda kuchukua daftar hapo mhuni anapiga 😂
Ni kawaida sana mkuu wanawake wote wamepitia hiyo stage. Hadi mama ako mzazi kapitia stage hiyo. So there is nothing surprising about it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…