UVCCM toeni taarifa kwa wazazi wenye watoto wao walio enda kwa Mkapa leo. Mpaka sasa hivi kuna wanafunzi kibao bado wapo ndani ya uwanja wamezuiwa

Sawa ni vyema kumwambia ukweli kuhusu UKIMWI na mimba za utotoni.
Bro mtoto anauma.
Tena wa kike.
We acha tu.
Inatakiwa ufatilie na uwe mkali kidogo, Binti wa miaka 14 anahitaji usimamizi.
Me ifike saa 2 sijamwona Binti yangu machanganyikiwa aisee we Bado saa 4 unachukulia poa.
Huyo ni Binti yako au ni mtoto wa kufikia?
Tuache utani mtoto anauma mno
 
LIKUD wewe ni baba bora sana!

Una tabia kama za baba yangu kumpa mtoto uhuru wa kufanya anachojisikia muhimu yeye ameshakupa ABCD zote ukichagua kuzifata sawa ukiamua kuziacha sawa

Na sijawahi kumuangusha🤸
 
Miaka 17 sio mtoto mkuu. Biologically hakuna tofauti ya kiakili kati ya msichana wa miaka 16 hadi 23.
 
LIKUD wewe ni baba bora sana!

Una tabia kama za baba yangu kumpa mtoto uhuru wa kufanya anachojisikia muhimu yeye ameshakupa ABCD zote ukichagua kuzifata sawa ukiamua kuziacha sawa

Na sijawahi kumuangusha🤸
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Ur father was the true son of his father
 
LIKUD wewe ni baba bora sana!

Una tabia kama za baba yangu kumpa mtoto uhuru wa kufanya anachojisikia muhimu yeye ameshakupa ABCD zote ukichagua kuzifata sawa ukiamua kuziacha sawa

Na sijawahi kumuangusha🤸
Huyo baba yako akili zake hazitumiki sawasawa
 
Imefika saa 2 hajarudi usichanganyikiwe mpigie simu muulize upo wapi?

Akirudi mwambie 'siku nyingine ukiona utachelewa kurudi nipe taarifa mapema'

Maisha yanaendelea! Muhimu mpe elimu kuhusu maambukizi ya ukimwi
 
Mimi naipenda CCM ila mwanangu namfundisha ayachukie mafisadi.
 
Imefika saa 2 hajarudi usichanganyikiwe mpigie simu muulize upo wapi?

Akirudi mwambie 'siku nyingine ukiona utachelewa kurudi nipe taarifa mapema'

Maisha yanaendelea! Muhimu mpe elimu kuhusu maambukizi ya ukimwi
👏👏👏👏👏👏
 
Huyo baba yako akili zake hazitumiki sawasawa
Amekua akinipa uhuru uliopitiliza na sijawahi kumuangusha
1. Nilikua nafaulu
2. Sijawahi kupata mimba
3. Sijawahi kuugua ugonjwa wowote wa zinaa

Wewe unayetumia akili kwenye malezi nipe sifa za mabinti zako, usikute mmojawapo ameshawahi kuugua ugonjwa wa ngono au kutoa mimba au shule ashawahi kufeli

Watoto wa 2000 hawahitaji malezi ya mwaka 60! Tumieni akili kuwalea wekeni kila kitu wazi mkijifanya wajuaji wanawashinda mapemaaaa🤸
 
Ww na huyo baba yako akili zenu hazitumiki sawasawa.
 
Vip wewe una mtoto wa kike kweli?
Yaani umwambie tu mtoto udhani inatosha?
Malezi ya Binti hutumii njia Moja,
Utamwambia ukweli(usharudi)
Utafatilia.
Utakuwa mkali kwake.
Kumtimizia mahitaji.
Japo afikie ndoto zake.
We Binti yako unasema ushamwambia anafika saa 6 hajafika ndani na wewe upo una amani kabisa
 
Ww na huyo baba yako akili zenu hazitumiki sawasawa.
Ili zitumike sawasawa ulitaka anifungie ndani?

Huwezi kushindana na mtoto tena wa kike
Akienda shule haupo nae, akienda dukani haupo nae
Ukisema huko kote umpeleke atagongwa na mlinzi ukiwa umeenda chooni

Mpe ABCD za maisha then umuache afanye alichoamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…