UVCCM toeni taarifa kwa wazazi wenye watoto wao walio enda kwa Mkapa leo. Mpaka sasa hivi kuna wanafunzi kibao bado wapo ndani ya uwanja wamezuiwa

Kwanini wawatumie watoto wadogo kwenye masuala siasa.
Hao watoto wanafunzi under 18 hawapigi kura.
Kwanini wasitushawishi sisi baba na mama zao
Anza kuwa brainwash mapema ili wakiwa wakubwa wawe makondoo
 
Aya hapo ngoja tusubili keshi ya kigogo mwingine kumnyandua mtoto wa masikini tigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…