UVCCM tuanzishe miradi ya Kimkakati kutengeneza ajira

UVCCM tuanzishe miradi ya Kimkakati kutengeneza ajira

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Umoja wa Vijana CCM tuanzisheni miradi mikubwa ya Kimkakati ili kutengeneza ajira Kwa wanachama wetu.
Kwa kuanzia tunaweza kuanza na,

1. Viwanda vidogo vya kutengeneza unga wa sembe/dona katika pakiti,

2. Viwanda vya juice ya matunda,

3. Karakana za ukarabati wa mitambo ya Kilimo na magari,

4. Mafunzo ya urembo na usafi.
 
Akili hii, maana ccm haina impact kwa watu wa hali ya chini toka enzi, kidogo kipindi cha Magufuli ndo tofaufi ilikuwepo.
 
Wewe mwenyewe huna ajira zaidi jiboresheni kuwa kupe na si chawa muwagande kabisa wakubwa wenu huko chamani.
 
Back
Top Bottom