Umoja wa Vijana CCM tuanzisheni miradi mikubwa ya Kimkakati ili kutengeneza ajira Kwa wanachama wetu.
Kwa kuanzia tunaweza kuanza na,
1. Viwanda vidogo vya kutengeneza unga wa sembe/dona katika pakiti,
2. Viwanda vya juice ya matunda,
3. Karakana za ukarabati wa mitambo ya Kilimo na magari,
4. Mafunzo ya urembo na usafi.