Taifa limejaa majangili tupuVijana wa hovyo katika ubora wao.
Hapo hawataki tume huru zaidi ya utapeliAdhabu tokea lini ikawa Dhahabu aache kuiba Chafuzi.
Hawa vijana wameajiriwa wapi? Wanafanya kazi Gani? Wanaishi wapi? Wanakula nini??Maelfu ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, 19 Machi 2025 wamekutana mkoani Morogoro kusherehekea miaka minne ya dhahabu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hamasa imekuwa kubwa kutokana na maendeleo makubwa aliyoyafanya Dkt. Samia kwa vijana nchini ambapo leo kunafanyika Kongamano katika Ukumbi wa Tanzanite, Morogoro linaloangazia makubwa yote yaliyofanyika na yanayofanyika na mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC).
Wanavyuo kwa pamoja tunasema Wasomi Tumekuelewa, Maendeleo Tumeyaona, Dkt. Samia Mgombea Wetu 2025.
Vilaza kama hawa hawana mchango wowote wa maana kwa taifa bora baba zao wangemwagia chini tu.Taifa limejaa majangili tupu
Jina lako upupu? Mbn roho km mwendawazimuMaelfu ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, 19 Machi 2025 wamekutana mkoani Morogoro kusherehekea miaka minne ya dhahabu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hamasa imekuwa kubwa kutokana na maendeleo makubwa aliyoyafanya Dkt. Samia kwa vijana nchini ambapo leo kunafanyika Kongamano katika Ukumbi wa Tanzanite, Morogoro linaloangazia makubwa yote yaliyofanyika na yanayofanyika na mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC).
Wanavyuo kwa pamoja tunasema Wasomi Tumekuelewa, Maendeleo Tumeyaona, Dkt. Samia Mgombea Wetu 2025.
Mfumo wa kijinga umetufikisha hapaVilaza kama hawa hawana mchango wowote wa maana kwa taifa bora baba zao wangemwagia chini tu.
Wanachimba meta 30-40 wanakimbia mashimoOya, mnaoulizia hao Vijana wako wapi na wanakula nini. Ni hivi:
Hao Vijana wako mkoani Geita anakotokea NWM Mapacha. Madogo wamepewa site ya kuchimba dhahabu. Neno 'miaka ya dhahabu ya ....'ni code language kwamba wanamshukuru mama kwa kuwapa maeneo ya kuchimba kwa wachimbaji wadogo wadogo.
Kama wewe ni kijana na hauna kadi ya CCM sahau kupewa eneo la kuchimba dhahabu. Upendeleo wa kijinga sana huu.
Wewe pia ni jangili? 😀Taifa limejaa majangili tupu
Yeah, ndo pale mbio za panya zinapoishia sakafuni. 😄😂🤣Wanachimba meta 30-40 wanakimbia mashimo
Hawana vitendea kazi
SawaWewe pia ni jangili? 😀
Nimekuliza😀Sawa
Sipo kwenye utumishi wa ummaNimekuliza😀
Na majangili mara nyingi sio matumishi ya uma😀Sipo kwenye utumishi wa umma