UVCCM wamuonya Anthony Diallo

Ukweli wa Diallo unawafanya watu muwe na hasira wakati yeye kawavumilia miaka 5
 
Dialo na Tv zake ni wa kususia hadi some poo.
 
Kwa nini yeye hakumsubiri huko kwenye vikao?
 
Watu Wakisema Ukweli Hamtaki kwa hiyo Ulitaka AMSIFU Hata kama Hataki kusifiwa
 
Polepole tutaelewana tu, tunaanza yaleee ya aina kadhaa za CCM
  1. CCM asilia
  2. CCM mtandao
  3. CCM bambikizi
Nasubiri kwa hamu kumsikia Mzee Niguse Ninuke
a.k.a jasusi mbobezi... alimwambia kichaa wa mirembe niguse ninuke, kama hujapotea kwenye hizo corridor za ikulu. Nchi ina mambo hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…