Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 806
- 2,049
Kwanini aombe radhi, kama alichozungumza ni ukweli.Aisee ...
Aombe tu Radhi..
Kavideo mkuuHuo mkutano wenyewe kama vile ulikua na jambo, kuna muda walisimama kwa dk moja kumkumbuka Magufuli.
Yaani hawa waachwe wapambane giza ndo liwaamue ikishindikana mwanga utakuja kufanya suluhuUaneni tu maana hamna tena jinsi
Uliwahi kumsikia akiwa katibu mkuu maneno yake? Ni kigeugeu tu..Kwann aombe radhi, kama alichozungumza ni ukweli.
Lengo ni kumsaidia, asiwe mnafiki, alipokuwa na nafasi alikuwa akimsifia mwendazake kila siku, leo mwenzake analeta nongwa!Kwann aombe radhi, kama alichozungumza ni ukweli.