Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM TAIFA ambao pia ni Wenyeviti wa UVCCM wa Mikoa mbalimbali nchini wameahidi kuhakikisha wanapigania Kwa nguvu zote kura za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa Urais katika Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Sisi Vijana tunasema "Mei Kama Oktoba"