Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki ni lini na kwa namna gani Mbowe, Lipumba na Mbatia walikwamisha "nia njema ya CCM" ya kuunda katiba mpya.
UVCCM hebu mjifunze kusoma matukio hata kama mlikua hamjapevuka bado. Msiwe wajinga kupitiliza, siasa ni sayansi na sio uropokaji.
Ile sherehe mliyofanya na mkanengua viuno ilikua kombolela au mdako??
"Historia na nia njema ya CCM kuanzisha mchakato wa katiba mpya umeziweka serikali zake kwenye kilele cha fahari ya uzalendo.Hata hivyo majina ya kina Mbowe, Mbatia na Prof. Lipumba hayatasahaulika kwa kukwamisha katiba mpya isipatikane" Salvatory Ngerera, Mwenyekiti UVCCM Iringa
https://t.co/g4bfOYgVZb