scatter
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,667
- 926
Kwa tunapoelekea umoja wa vijana unaongoza vijana wa chama tawala utageuka kuwa bendera fuata upepo ..yaani ule ushauri wa dhati kwenye maslahi ya vijana nchini morali yake ipo chini sana ,majuzi zimeibuka skendo za ubadhirifu wa fedha za umma hakuna anayetoa neno.
Msingi wa umoja wa vijana ni pamoja na kuhakikisha morali ya kutekeleza ilani za chana hazipakwi matope au kutoa tafsiri mbili mbili Kwa wananchi .
Huh ububu na ukiziwi mnaoufanya Sasa madhara yake ni makubwa kwa mipango ya chana na maendeleo ya wanaoongozwa mwisho UVCCM itakuja kubaki ni uwanja wa watoto wa watawala kujifunzia siasa mbovu