UVCCM yakabidhiwa Ng'ombe ili waongeze vyanzo vya mapato

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Naona sasa wameamua kuwapa vijana ng'ombe wakatumie muda mwingi machungani

===
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) chini ya Mwenyekiti wake, Ndg. Mohammed Ali Kawaida umekabidhiwa ng'ombe wa maziwa ambaye atakuwa anatumika ili kupata maziwa ambayo yatauzwa ili kuiingizia UVCCM fedha.

Akipokea ng'ombe huyo leo katika Shamba la Serikali la Kitulo lililopo wilayani Makete mkoani Njombe, Ndg. Kawaida alipokea taarifa ya mradi huo mkubwa wa Serikali ambao una ng'ombe zaidi ya 900.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…