Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM ) Rehema Sombi Omary amewataka Viongozi wa UVCCM Mikoa yote Nchini kuandaa Kambi za Mafunzo maalumu kwa Vijana ili Kuweza kuwajenga na kuwafunda Vijana kuwa Wazalendo katika Taifa kuelekea Uchaguzi mkuu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sombi ametoa agizo hilo Machi 02,2025 wakati akifunga Kambi Maalumu ya Mafunzo kwa Vijana wa UVCCM Mkoa wa wa Kilimanjaro iloyofanyika wilayani Hai.