Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
100%🤝Tuko busy kuwekeza kwa wasanii, machawa na waimba mapambio ili kuendelea kushinda uchaguzi na kutawala busy na manipulation of our own people na sio kujenga mifumo imara na kujenga kizazi smart shindani kitakacho counter vitisho vya kisasa.
Wakati vijana wa South Korea wanafundishwa kutengeneza electronic chip na vijana wa China wanafundishwa export and import business sisi vijana wetu wanafundishwa mbinu za kushinda uchaguzi.Huko ndio vijana wa ccm huenda kufundishwa unyama dhidi ya wapinzani, na vyombo vya dola huwa ni sehemu ya uchafu huo.