UVCCM Yatembea kwa Miguu Ikifuata Nyayo za Baba wa Taifa Kutoka Butiama Hadi Mwanza

UVCCM Yatembea kwa Miguu Ikifuata Nyayo za Baba wa Taifa Kutoka Butiama Hadi Mwanza

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Vijana 2,100 wakiwemo 32 wa kutoka Musoma Vijijini, walianza matembezi ya miguu kutokea Butiama hadi Mwanza siku ya Jumatano, 9.10.2024.

Matembezi haya yanafuata nyayo za matembezi ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoyafanya Mwaka 1967 akiunga mkono Azimio la Arusha lililozaliwa mwaka huo (1967)

Vilevile, matembezi haya ni sehemu ya sherehe za kilele cha ukimbizaji Mwenge wa Uhuru zitakazohitimishwa Jijini Mwanza tarehe 14.10.2024

 
Nimeamini ili uwe mwana mboga mboga lazima ujitoe ufahamu
 
Back
Top Bottom