habari wataalam. mimi huwa napatwa na tatizo lakuvimba chini kidogo ya sikio uvimbe huwa simkubwa sana nikama kijipu uchungu hivi. lakin chenyewe huwa kinakaa kwa mda mrefu mpaka kuiva nakupasuka tena wakati mwengine huwa kinaishia hivyo nakupotea. je nitakua na tatizo gani? NILIWAHI KUMSIKIA MTAALAM AKILIZUNGUMZIA HILI LAKINI ILIKUA NIKIPINDI CHA RADIO NANILICHELEWA KUMSIKILIZA