Uvimbe jichoni

Uvimbe jichoni

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,186
Reaction score
7,184
kuna friend wangu ana uvimbe jichoni kwenye kope ya chini ya jicho.ameenda.hospitali bt haujaisha kama miezi sita sasa. any help wakuu
 
Achekee kwenye kinu au tundu la choo
Wakati huo huo awe anapaka mate ya asubuhi kila akiamka, mchana anapaka majani ya chai. Ka uvimbe haka huwa na tabia ya kuhama hama, kanaitwa sekela.

Mtaanza, imani mbofu mbofu eeeh, sasa zenu za kimagharibi kama zimeshindwa mtajua zetu za asili.
 
husababishwa na nini kongosho
 
kope zikichomoka lile tundu uingiliwa na bacteria ndo uleta jipu,lazima a2tumie antibiotic unless kakipona apa kanaamia pale maana kope huchomoka kila wakat mpaka utibu wale bacteria,vulinisumbuaga sana uvu mpaka dr.mmoja alipo nielimisha
 
Back
Top Bottom