Uvimbe katika eneo lililochomwa sindano

Uvimbe katika eneo lililochomwa sindano

mzeemzima

Senior Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
123
Reaction score
78
Heshima yenu wadau,

Yapata wiki tano zilizopita nilichoma sindano katika kalio , lakini sindano hii ilikuwa na maumivu makali tofauti na sindano nilizokwishawahi kuchoma zamani. siku moja baada ya sindano nilianza kusikia maumivu makali katika eneo la sindano na siku chache baadae nikaona uvimbe mdogo katika eneo la sindano . maumivu yameisha lakini uvimbe mpaka leo upo.

Naomba msaada wa kujuzwa nini inaweza ikawa chanzo cha hali hii na jinsi kutatua tatizo hili.

Asante
 
Ondoa wasiwasi kuwa wamegusa mishipa ya nerves, hapo inwezekani kuna infection itakayoleta jipu
 
Ondoa wasiwasi kuwa wamegusa mishipa ya nerves, hapo inwezekani kuna infection itakayoleta jipu
Asante , nashukuru, kwa hiyo nitulie nisifanye chochote? nisubiri kama litatokea jipu nideal na jipu au kuna kitu naweza nikafanya kuzuia madhara yoyote kama nerves zilipata shida
 
Asante , nashukuru, kwa hiyo nitulie nisifanye chochote? nisubiri kama litatokea jipu nideal na jipu au kuna kitu naweza nikafanya kuzuia madhara yoyote kama nerves zilipata shida
Nerves zingepata shida usinge tembea
 
kwa wiki tano ulizosemea kama ingekua nerves zimepata madhara mapema tu ungekua ata we ushaona madhara ya disability kushindwa kunyanya mguuu loss of function ila kwa uvimbe unaishaga kama sindano za chanjo wanazopewa watoto mapajan huvimba saaana paja la kushoto zinavimbaga bt finally zinatulia tu, ko usiwe na was bt ikitokea dalili nyingne usiyoielewa nakushaur ukimbie mapema hospital kwa uchnguz zaid
 
kuna dawa, nyingne huvimba na mchomaj pia sometimes wanachangia so jaribu kufuatilia vema na kua makin na hiloooo,,,,
ahsanthe mkuuu, poleeee saana
 
habari zenu wadau ,,,naomba mnisaidie huwa nachoma sindano.Kila mwezi kwenye makalio na zinavimba sana nakanda na barafu zinaisha ila mwezi uliopita nilichoma ikavimba nikavimba na mtoki pia paja la kulia nikakanda zimepoa ila mtoki haupoi bado kuna kauvimbi nin icho naomba msaada
 
po

pole sana mkuu... binti yangu mchanga pia amechomwa zile za chanjo na amevimba.. wakija madaktari watatusaidia.. Sky Eclat Asprin @georgoeous mimi
 
Back
Top Bottom