Asante , nashukuru, kwa hiyo nitulie nisifanye chochote? nisubiri kama litatokea jipu nideal na jipu au kuna kitu naweza nikafanya kuzuia madhara yoyote kama nerves zilipata shidaOndoa wasiwasi kuwa wamegusa mishipa ya nerves, hapo inwezekani kuna infection itakayoleta jipu
Nerves zingepata shida usinge tembeaAsante , nashukuru, kwa hiyo nitulie nisifanye chochote? nisubiri kama litatokea jipu nideal na jipu au kuna kitu naweza nikafanya kuzuia madhara yoyote kama nerves zilipata shida
pole sana mkuu... binti yangu mchanga pia amechomwa zile za chanjo na amevimba.. wakija madaktari watatusaidia.. Sky Eclat Asprin @georgoeous mimihabari zenu wadau ,,,naomba mnisaidie huwa nachoma sindano.Kila mwezi kwenye makalio na zinavimba sana nakanda na barafu zinaisha ila mwezi uliopita nilichoma ikavimba nikavimba na mtoki pia paja la kulia nikakanda zimepoa ila mtoki haupoi bado kuna kauvimbi nin icho naomba msaada