Uvimbe katika maeneo ya eyebrow mpaka kwenye eyelid

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Huu uvimbe huwa unatokea wakati wa kulala tu, wakati wa kuwa macho uvimbe unapotea unabaki kama uwekundu fulani hivi na uvimbe kwa mbaaaali, na ukiuminya huo uvimbe hakuna maumivu wala hakuna ugumu, ni kama vile unaminya kitu chenye umajimaji kwa ndani, huu unasababishwa na nini? Nini tiba yake ili uvimbe upotee mazima?

Naombeni msaada...
 
Ngoja tusubiri wataalam man!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…