Pole sana bface ,kwa kawaida osteoma ni aina ya benign tumor yani ni tumor ambayo haiwezi kusambaa(metastasis) pale ilipo haiwezi kula zaidi, na hiyo inaweza kuwa imesababishwa na infection ila causes haijulikani sana, kwa upande wangu sidhani kama mtoto wako ataipita , kwasabu inategemea na kisabishi kama kama ikiwa gene za autochromosome zimebeba tatizo basi uwezekana upo lakini ni mdogo sana kwa sababu mpaka hiyo gene ibahatishe kwenda kukutana na gene za mkeo na pia lazima iwe dominant vinginevyo mkeo naye awe na tatizo. Kwa ujumla mtoto wako kupata tatizo ni vigumu sana . Hilo tatizo lako siyo malignant cancer amboyo ni hatari inasambaa mwilini,
Nashukuru kwa ushauri mkuu,, nmekupata