Uvimbe kooni

Uvimbe kooni

Ms mol

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
1,960
Reaction score
2,345
Habari wakuu mwanangu amekuwa akisumbuliwa na tonsils tangu umri wa miaka minne, ila siku hizi haziumi tena km mwanzoni na hata mwanzoni hakuwa anaumwa serious kiasi cha kushindwa kula wala kucheza..!!

ila siku za karibuni nimegundua huu uvimbe ambao umetibiwa bila mafanikio... mara ya kwanza alipewa PenV mara ya pili akapewa Amoxicillin na pia awamu ya tatu aliandikiwa Ceftriaxone (sijui km nimepatia) injection ambazo alichoma 10 kwa siku 5 asubuhi na jioni.. YEYE ANASEMA HAZIUMI je na mimi nitulie tu kwamba atapona? naombeni ushaur jamani nimeanbatanisha na picha pia Sky Eclat Riwa Mzizi mkavu na madaktari wengine..
.
20190615_120201.jpeg
 
Mkuu hata mimi ninazo kuna kuda zinasumbua nakunywa antibotic zinatulia ila kitaalam wanasema kama itakuwa zinasumbua kwa mwaka zaidi ya mara 8 basi ni kuzifanyia upasuaji ila kwangu si hivyo naepuka tu vitu vya baridi siku zinaenda na mwanangu nae pia hivyohivyo anazo hospitali walishauri hivyohivyo ila wanasema mpaka afike miaka minane ndio wanaweza zikata,na hata mtoto ukimwambia wiki nzima asile chochote ataelewa,vumilieni hazina tabu,na nilichogundua watu wengi wanazo ila hawajichunguzi.
 
nashukuru mkuu kunipa moyo.. naye hazifiki kwa mwaka mara 8 hapana.. je zako na mwanao zimevima km za huyu wangu??

Back
Top Bottom