Uvimbe kwenye kwapa je huu ni ugonjwa gani?

Uvimbe kwenye kwapa je huu ni ugonjwa gani?

ZOPPA

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
2,729
Reaction score
2,891
msaada tafadhali nimekua na tatizo la uvimbe kwenye kwapa kwa muda wa miezi mitatu sasa bila ya kujua tatizo nini au nasumbuliwa na ugonjwa gani ila sijisikii maumivu ya aina yeyote ila nakuwa na wasiwasi unawey
2843596.jpg.jpeg
 
Nilikuwa nalo kama Ilo kuna bibi alinambia uwe unapaka ule unga wa kwenye kiberiti nilifanya kwa kupuuzia puuzia lkn nilipona baada ya simu moja nilinza kuona mbadiriko
 
Humu ndani ukiomba ushauri unaweza kupagawa [emoji847]
Wana mtisha tu mwenzao, Kuna siku nilikuwa nawashwa na vipele vya joto kwenda hospital Dr akanambia nipime ngoma sikuwa nayo. Vipele ka hivo hutokea na waweza weka kitunguu swaumu kilichotangwa ikafanya kikaiva kutumbuka
 
Tezi pima tb, au huenda u a kidonda somwehere, na je ipo hiyo sehemu ingine?
 
Acheni kumtisha mwenzenu mbona hivo vijipu uchwara huwa vya kawaida tu kwa watu.
Huo ndio ukweli
Itay je Persistent Generalised lymphadenopathy caused by HIV
May be TB adenitis
 
Back
Top Bottom