Nina tumaini wote mko salama.
Naomba niulize yeyote mwenye ujuzi na hili jambo anisaidie.
Takribani miaka miwili iliyopita,wife amekuwa na kitu kimevimba,ukimuona utahisi mjamzito,alienda hospital,kapimwa kaambiwa kongosho ndo limevimba,kaanzishiwa dose.Dawa akitumia zinamzidi nguvu,tukaamua kubadilisha daktari.
Cha ajabu leo anapima sehemu nyingine,anaambiwa ni uvimbe kwenye kizazi,na upasuaji unahitajika kwa asilimia 85. Sasa,kabla ya kujipanga kuelekea kwingine kuhakiki,hii issue imenichanganya.Mpaka mtu anaitwa Dr.,anaweza kusoma picha za X-ray,nashindwa kuelewa mkweli ni nani na muongo ni yupi,pengine hizi dawa ambazo amwtumia kwa miaka miwili bira mafanikio,kama kweli ugonjwa haukuwa ulioonekana leo,zina madhara gani?! Kwa kina mama,anayejua kama hii ni dalili naomba anijuze.