We jamaaa acha kumsingia mwenziwe, we sema tu ni mimi naumwa, mbona kujikwaa ni kawaidaππππππππ
Tena ukisema ni wewe utaisaidiwa more than 100%. Anyway keep along na maelekezo aliyokupa docta.
Pia kupona kkunahitaji muda, endelea kutumia hizo dawa for 5 days hope will see changes.
Pole sana