agprogrammer
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 468
- 362
Habari za jioni wataalamu, kama kichwa cha mada kielezavyo mke wangu kajifungua ana miezi mitatu sasa ziwa lake moja upande wa kulia linamuuma mno, kabla ya kujifungua palikuwa na ka uvimbe tuliende hospitali tukaambiwa akijifungua na kuanza nyonyesha kitaondoka ila tangu kujifungua bado kipo na zaidi kumetokea mwingine ambao ndo unasababisha maumivu, nilikuwa naomba kujua chanzo ni nini ?.
NB: huu ndo uzazi wa kwanza kwake.
Nawasilisha.
NB: huu ndo uzazi wa kwanza kwake.
Nawasilisha.