wasiliana na Godbless healthy centre watakushauri na kukupa dawa za kuondoa uvimbe 0692134045
ESR inaonyeshaje uvimbe kwenye uti wa mgongo?? ESR sio kipimo cha picha (imaging) kwa hiyo hakiwezi kuonyesha kuwa kuna uvimbe sehemu fulani hata siku moja!! Sijui ni hospitali gani walikufanyia hicho kipimo wakakwambia hivyo, lakini wameku mislead sana tena sana!!Daah wadau naomben msaada wenu ni muhim saana