Jaman ninatatizo la uvimbe kwenye pubic sehemu ya kulia na mda mwingine uvimbe huu ushuka hadi kwenye korodan moja ya upande wa kulia,lakini ajabu ni kwamba uvimbe huu mda mwingine uleta kitu kama korodan ya tatu upande huo wa kulia lakini pia mda mwingine uvimbe korodani hii upanda juu kwenye pubic nakuleta maumivu.pls naomba ushauri kwa mwenye ufahamu na tatizo husika na njia za kumaliza
Pole mkuu,kuna wengine hupata kitu kinaitwa mtoki. Mkuu hebu uwe na subira ma dr waje kwa ufumbuzi wa tatizo ila funguka ili hata ushauri uwe murua. Huo uvimbe n kwa muda gani unao,huwa unajirudia baada ya muda gani? Ndiyo unaanza.