Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya.
Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio sasa ikaruhusu Mzanzibari kurithi Urais wa serikali hii badala ya siku zote kuishia umakamu wa Rais kwa ajili tu ya kulinda maslaha ya Zanzibar ndani ya Muungano?
Ikitokea kama kifo cha Rais wa Tanzania basi kipengele kingesema aliekuwa Waziri Mkuu au Jaji Mkuu, Speaker wa Bunge ashike Urais hadi Uchaguzi mkuu ujao. Mzenji akibaki nafasi yake kivulini ya umakamu ili alinde maslaha ya nchi yao Zenji.
Uvivu huu sasa ndio unaumiza forever, haya mambo yatapelekea vita na nchi za kiarabu. Na tutavwamiwa kinguvvu. Nipo paleee nanywa kahawa mie.