Elections 2010 Uvumi unaonea kama upepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Kuna uvumi unaenezwa kwa watu kuwa iwapo umepokea rushwa/takrima toka ccm alafu ukawasaliti kwa kuwapigia kura wapinzani.Eti iyo karatazi ikipelekwa kwa computer itaonyesha iyo tick ilikuwa ya nani!
MY TAKE
Nakubaliana na Baregu kuwa mataji wa CCM ni ujinga wa watanzania imagine someone spreading such hopeless threats kwa wananchi kwa kitu ambacho hakiwezekani.
Naona CCM wanatumia iyo strategy hasa baada ya baadhi ya viongozi wa dini kusema ela za rushwa kuleni bse ni zetu ila kwenye box la kura ni siri yako na muumba
 
duh,ni wachache sana watakao danganyika kwa strategy hiyo
 
huu ni uvumi wa kijinga kwa wajinga, kwani hizo karatasi zina sehemu ya kuandika jina? au hao walipewa hivyo vijisenti watapewa karatasi zao zenye majina yao
 
Nadhani is not a fair judgement kujadili kuhusu UVUMI nilidhani ni facts
 
Mtu aliyeshauri wafanye kitu cha kijinga kama hiki, ni kwamba amefirisika kifikra na mawazo.
 
Wananchi wengi watashtukia hiyo njama, lakini pia kuna watakaoamini!
 
Safari hii hata wanawake wameona mshikaji anauza sura na hana ile huba ya awali.

ogopa kukosa kura za akina mama. utalia.
Kikwete namtakia mapumziko mema baada ya safari fupi ya miaka mitano ya urais.
 
huu ni uvumi wa kijinga kwa wajinga, kwani hizo karatasi zina sehemu ya kuandika jina? au hao walipewa hivyo vijisenti watapewa karatasi zao zenye majina yao

Mkuu taarifa kama hizi zinapopatikana si vyema kuzipuuzia hata kidogo.Inabidi watu waelimishwe haraka sana juu ya hili ili wasibabaike na kuogopa.Kumbuka katika nchi yetu wajinga ni wengi kuliko wenye akili na ni hao wajinga ndio CCM inajivunia na haitaki wapate uelewa kama ulio nao wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…