Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Post deleted by author
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni mamoderator nadhani wameondokana na dhana ya "great thinker" na kuelekea "dhana ya kuwa na member wengi(users)"Ila kwa sasa zimezidi.
Tumekuelewa ila tumia smartphone yako kwa mambo ya maana na yenye tija ktk masomo na maisha yako...epuka videos za ngono na magroup yasiyo na tijaHabari wakuu,
Mitihani ya kumalizia shule na kufungia imemalizika na wengi hawana cha kufanya kwa sasa. Na kwa sababu kila mtu anamiliki 'smatphone' hivyo ni mwendo wa kuchat tu. Hivyo unapoona thread za ajabu ajabu humu vumilia tu, jua kimasomo tupo likizo.
Hivyo kwasasa wengi tupo humu.
Hata hii pia Mvumilie tu.
Mitihani ya F2 bado inaendelea wiki ijayo mpaka ijumaaHabari wakuu,