Uvumilivu: Mitihani ya form 2&4 imemalizika, hivyo tuvumilie baadhi ya threads

Mbona zipo nyingi tu hata kabla hiyo mitihani haijaanza!
 
Moderators wawe na kazi ya ziada kuchambua zenye maudhui FULANI au LA. Ila pia hili ni jukwaa huru acha tusikie mawazo na saut za kila kundi
 
Tumekuelewa ila tumia smartphone yako kwa mambo ya maana na yenye tija ktk masomo na maisha yako...epuka videos za ngono na magroup yasiyo na tija
 
Mitihani ya F2 bado inaendelea wiki ijayo mpaka ijumaa
 
Nimeiona moja inaomba kufundishwa jinsi ya kutongoza, sijaifungua ila imepata wachngiaji wengi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…