habari mtoa mada mdada
gfsonwin heshima yako mkuu
mimii ninasuala tofauti sana na mtazamo tofauti sana katika neno uvumilivu!na hii hupelekea kuwa mimi sio mshauri mzuri wa masuala ya mapenzi,nandio sababu huwa nasema kwa nafsi yangu peke,na ieleweke pia kuwa watu tumeumbwa tofauti sana jinsi unavyoimudu ndoa /mahusiano yako kwa uvumilivu tena mkuu mimi naimudu nainadumu kwa tofauti kabisa tena bila uvumilivu huwa
napotezea tu badala yakuvumilia.
nawiwa pia kusema uvumilivu unatokana na historia ya mahusiano ya hao watu wawili tangia mwanzo,sisi ni binadamu huwa ni wepesi kukata tamaa na kufika mwisho,mimi nimeishi vijijini pia mijini na watu tofauti sana ,nimeshuhudia ndo a/mahusiano yakiingiliwa kati nakuvunjwa na ndugu japo ni ndoa takatifu au la sababu yakuon huyu atavumilia mpaka lini ilhali hili suala halina mwisho na mtu hajitambui ,kwa hili pia dada
gfsonwin utakuwa shahidi mzuri sana,kuvumilia kunaenda proportional na mtu unayemvumilia anaelewa amekosea na yuko tayari kujirekebisha!la sivyo uvumilivu una mwisho!!!!!!!!!
natoa mfano:
je katika mambo haya bado utavumilia tu kama yanajirudia rudianahusisha ndoa /mahusiano yoyote?
1.umemfumania several timea hajirekebishi na si ajabu kumkuta club/sehemu yyte katika mazingira tatanishi ambayo yanaonyesha ukaribu wawatu hao kimapenzi.UNAONA WAZI MWENZANGU ATANIUA NA MAGONJWA HATARISHI.
2.akuheshimu anakulinganisha na mahawara zake na kuwasifia kuwa wao ni bora kuliko wewe bila kujali unaumia kiasi gani,
3.hajali hisia zako kabisa
4.anakudharau nakukudhalilisha popote pale nabila kujali ni wapi haeshimmu ndugu jamaa namarafiki
5.anakuletea wanaumw/wanawake ndani ya nyumba nakulala kitandani mnacholalia na wewe ukiwepo
6. anakutusi
7.hataki umuulize chochote kile amechelewa, amelala wapi
8.hatoi matumizi ya familia kama au kulingana na kipato chake ,akipata anapotea akikosa anarydi nakujinyenyekeza kwako
9.ameshindwa kuilinda ndoa/mahusianao ameiweka mikononi mwa ndugu wanauwezo wakukutusi au kukuamrisha lolote watakalo na hakuna wakukutetea na yeye pia hayuko upande wako ambaye ndie aliyekukaribisha kwao wewe ni mgeni!
10.Kila kona unapata tetesi ana mtoto au baadhi unawafahamu,kupigiwa pigiwa simu kudai matumizi au la
11.amekuficha mambo mengi unakuja gundua amezaa na anawatoto nyumbani kwa/ni mke wamtu ila kakuficha muda wote wamahusiano,mfano ile mada ya leo isemayo
kumbe mpenzi wangu ni mke wa mtu!wanajf walichangia nakumwambia asivumilie yatamkuta mabaya mbeleni
12.
ongezeeni
MIMI KWA MAMBO SIMO TENA NA HUO UHUSIANI NAWAACHIA WENZANGU WAJARIBU NA WAO.LAKINI UVUMILIVU NI MUHIMU ILI MAISHA YAENDE.