Uvumlivu wa tamaa ya ngono

Uvumlivu wa tamaa ya ngono

dave80

Member
Joined
Mar 30, 2010
Posts
9
Reaction score
0
Mada:KATI YA MWANAUMUE NA MWANAMKE NI YUPI ANAWEZA KUKAA KWA MUDA MREFU BILA KUFANYA MAPENZI?

Naomba kuwasilisha
 
Yap, wanawake ndio wanaweza kukaa muda mrefu compared to wanaume. Observations also prove it.
 
.....wanawake uwa wanawashwa sana ....ikizidi hali ya joto mwilini ....mwanaume anaweza kukomaa tu...lakini wote wana tamani kufanya...mwanaume anaweza kukaa muda mrefu bila kufanya ngono
 
Wanawake provided hawajapata mtu wa kumsumbua (ashakuum si matusi) nina maana mtu wa kumuombomba mara kwa mara
:frown:
 
Why wanawake/wanaume? Kwa nini unajibu hivo? Unaongozwa na sababu zipi za kisayansi, kiutamaduni, kimang'amuzi, kimaadili, nk?
 
Hili sasa swali la kimtegotego; ni balaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
jibuni kwa kutoa na sababu za kitaalam sio mtu anajibu tu wanawake au wanaume. Halafu inategemea maana hata kujichua nayo ni kufanya ngono maana si mtu anafika peponi sasa hilo swali sijui linamaanisha kutumbukiza ndizi kwenye kitumbua i dont know
 
wote wanaweza kukaa bila ya ngono

Aidha, hisia za ngono zipo kwenye mazwazo na kuna predisposal factors nyingi zinazochangia mtu kuhisi kucheza ngono au kutopenda kabisa

mifano ni climate, psychohemisphere, stress, age, nutrition, activity among other issues

A m a psychological counsilor and a reproductive health consultant

U c an contact me on patrickogeto@yahoo.com or newlifekenya@yahoo.com or 0710933430 for more info

This was a gud quistion
 
Haya ni masuala yategemeayo fikra tu.Hisia zinakuwepo,so it depends ni kiasi gani mtu unaziendekeza hisia hizo.Aidha wewe ni mwanamke or mwanaume
 
Weka swali lako vizuri. Kama wako mazingira sawa jibu ni tofauti na wakiwa mazingira tofauti. Na kazi wanazofanya, na umri wao. Huwezi kumlinganisha mwanamke wa miaka 50 na kijana wa miaka 25 unataka kujua nani atavumilia zaidi.
Kifupi fafanua swali lako
 
Back
Top Bottom