Uvunaji maji safi na salama ya mvua

Kuna faida gani ya kutumia gata ya kujengea badala ya zile za plastiki?? Tueleweshe hapa

Nyumbani kwangu nimeweka za plastiki huu ni mwaka wa kumi sasa na bado zipo kwenye ubora wa hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…