Uvunaji wa asali unaendelea, wakuu tuwasilianeni

Uvunaji wa asali unaendelea, wakuu tuwasilianeni

Mtafiti Madini

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
101
Reaction score
35
Uvunaji wa asali kwenye misitu ya Urambo na Manyoni unaendelea vyema, kama unahitaji asali safi tuwasiliane . Ni asali nzuri inayoandaliwa katika mazingira ya usafi.
 
Tunauza lita 20, sh.150,000. Ukinunua kuanzia lita 20, kwa wakazi wa dar utaletewa hadi home.
 
kwa wasoijua, ni ile asali yenye rangi ya kama gold flan hivi, lita 20 = kg 35.2. karibuni sana
 
kwa ufafanuzi zaidi,kuwa huru kuuliza mdau. Aidha unashauriwa kujenga utamaduni wa kula asali asubuhi na jioni utaona unabadilika na mwili unakuwa fit sana.
 
Nawashukuru sana wale wote ambao mmejitokeza kuniunga mkono kwa kununua asali yangu. Napenda kuwafahamisha kuwa bado asali inaendelea kutoka
 
Back
Top Bottom