Uvunaji wa asali kwenye misitu ya Urambo na Manyoni unaendelea vyema, kama unahitaji asali safi tuwasiliane . Ni asali nzuri inayoandaliwa katika mazingira ya usafi.
kwa ufafanuzi zaidi,kuwa huru kuuliza mdau. Aidha unashauriwa kujenga utamaduni wa kula asali asubuhi na jioni utaona unabadilika na mwili unakuwa fit sana.