Uvunaji wa ufuta

Uvunaji wa ufuta

Ledney

New Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
2
Reaction score
0
Nahitaji kununua machine ya kuvunia ufuta na binde, ili niwe nakodisha mashambani niko mkoani Pwani Ikwiriri, naombeni ushauri wenu, bei na kila kitu kuhusu ili swala.
 
Nahitaji kununua machine ya kuvunia ufuta na binde,ili niwe nakodisha mashambani niko ..mkoani pwani ikwiriri ,naombeni ushauriwenu ,bei na kila kitu kuhusu ili swala

Binder( ya kubana ufuta katika mafungu)
 
Back
Top Bottom