zamani1116
Member
- Oct 24, 2017
- 28
- 6
kwa nini baadhi ya nchi wanaruhusu !? Hayo madhara hawayaoni ama!? ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi haina madhara kabisakwa nini baadhi ya nchi wanaruhusu !? Hayo madhara hawayaoni ama!? ....
Sawa nimeelewa hapo sasa nataka kufahamu kwa nini inapigwa marufuku na kudaiwa ina madhara!? ... Nataka kufahamu vizuri japo kwa juu juuBangi haina madhara kabisa
Biashara ya dawa za binadamu itaanguka, kifupi ni hivi fuatilia ukanda wanaotumia bangi na ukanda wasiotumia bangi, nenda hospital angalia watu wa Kanda zote wanasumbuliwa na magonjwa ya namna ganiSawa nimeelewa hapo sasa nataka kufahamu kwa nini inapigwa marufuku na kudaiwa ina madhara!? ... Nataka kufahamu vizuri japo kwa juu juu
Doh... Sawa mkuuBiashara ya dawa za binadamu itaanguka, kifupi ni hivi fuatilia ukanda wanaotumia bangi na ukanda wasiotumia bangi, nenda hospital angalia watu wa Kanda zote wanasumbuliwa na magonjwa ya namna gani
Hapo ndio utajua faida ya bangi
Wewe tena ningeshangaa ungeiponda bangiBangi haina madhara kabisa
MbogaSema mbona, siyo bangi please
Sawa nimeelewa hapo sasa nataka kufahamu kwa nini inapigwa marufuku na kudaiwa ina madhara!? ... Nataka kufahamu vizuri japo kwa juu juu