Uvutaji wa Bangi una madhara gani kiafya(kitaalamu) !?

Sawa nimeelewa hapo sasa nataka kufahamu kwa nini inapigwa marufuku na kudaiwa ina madhara!? ... Nataka kufahamu vizuri japo kwa juu juu
Biashara ya dawa za binadamu itaanguka, kifupi ni hivi fuatilia ukanda wanaotumia bangi na ukanda wasiotumia bangi, nenda hospital angalia watu wa Kanda zote wanasumbuliwa na magonjwa ya namna gani

Hapo ndio utajua faida ya bangi
 
Doh... Sawa mkuu
 
Haina madhara ila kama kwenye ukoo wenu kuna hali ya uchizi..ukivuta mara kwa mara unakuwa chizi
 
Haina Madhara yoyote mkuu mm nishepiga cha Arusha apa nimekaa kwenye Tv Naangalia makochi.
 
K
Sawa nimeelewa hapo sasa nataka kufahamu kwa nini inapigwa marufuku na kudaiwa ina madhara!? ... Nataka kufahamu vizuri japo kwa juu juu

Kweli kuna mtu na mtu pia kuna bangi na bangi.

Mfano mtu mwenye "ubongo wa samaki" akavuta aina ya bangi "konki" muda mchache atadata na akiendelea kuvuta hatimaye atarukwa na akili, katika mazingira hayo ndipo bangi kwa ujumla wake inapokuwa ni kitu hatari, sababu inaweza ikawa ni vigumu kujua uwezo wa ubongo wako kuhimili bangi iliyokuwa konki.

Kwa ujumla "kuanza" kuvuta bangi ni sawa na kubeti mpira wa miguu huwezi jua ni man- u au chelsea itashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…