Kutendo Baadhi ya wavutaji wa Sigara ni kwenda Dukani kununua Sigara na kuiwasha papo hapo na kuanza kuvuta bila kujali Afya ya Watejá wanaohudumiwa hapo.
Inabidi ziwekwe sheria ndogo ndogo za kulinda Afya za wengine ambao sio watumiaji. Hivi mvutaji Wa Sigara unashindwa nini kununua Sigara yako ukatafuta Sehemu ya wazi au ndani kwako ukavuta Sigara yako na ukimaliza Uendelee na shughuli zingine?