ndugu yangu katika magonjwa makubwa makubwa yoooote, mbali na kusababishwa na mambo mengine, pombe kwa sana na sigara kwa sana huwa hazikosi. so, unywaji pombe na uvutaji kupita kiasi ndo msala na pia effect yake ipo mbele inaweza kuchukua 10-15 years ukaanza kupata matatizo.
msosi, zoezi na akili iliyotulia/saikolojiando silaha ya nguvu za kiume.
my view