Uvutaji wa sigara.

Deluxe?
 
Nilitamani nijue stimu za drugs kma sigara na vyengine ile sikufanikiwa.
 
Hahah
 
Nilitamani nijue stimu za drugs kma sigara na vyengine ile sikufanikiwa.
Wapo wanao jitahidi kabisa kuta au kulewa inakua ngumu.
Ajabu wasiopenda hujikuta tu wamekua
 
Maurizio Sarri kocha wa Chelsea napiga zaidi ya hizo kwa siku mkuu. Kuna mzee mmoja jirani yangu (r.i.p) alikua anavuta hata packs kumi kwa siku. Yeye mda wote kawasha fegi
Hizi ni hisia "dhana" tu mkuu,si rahisi kua na accurate figure,labda athibitishe mvutaji mwenyewe,nimeishi na ma heavy smoker,maximum ni paketi 3 to 4
 
Hizi ni hisia "dhana" tu mkuu,si rahisi kua na accurate figure,labda athibitishe mvutaji mwenyewe,nimeishi na ma heavy smoker,maximum ni paketi 3 to 4
Sasa kama umeishi na anaevuta pakiti 4 inawezekana vipi kunikatalia kuwa mimi sijaishi na anaevuta pakiti kumi?

Mbona wabongo wabishi sana? Nikikwambia kuna mtu anakunywa bia crate mbili utanibishia kwasababu mlevi unaemjua wewe akinywa bia 5 basi kalewa chakari?
 
Haha!, asa mkuu unafikiri hilo pafu mchezo watu tunatishiana nyau tu. Si umemuona Fidel Castro kaishi adi kawa kikongwe [emoji3][emoji3]
Castro alikuwa anapiga cigars sio sigara,Tena za Bei ya juu,halafu cigars hauvuti moshi ndani unaishia mdomono,sema haya mambo hayana formula Bibi kidude alikuwa anapiga Sana fegi na ganja ila kafariki akiwa kikongwe
 
Kwahiyo unataka kuniambia Cigar haileti saratani ya mapafu mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…