Sigara ina nikotiniNapenda kujua ni kwanini wavuta sigara wengi wamechubuka midomo hadi imekuwa na rangi nyekundu
Nikotini ni sumu ambayo ikikutana na moto hutengeneza utando mdomoni ambao huleta mchubuko kwenye lipsInapelekeaje mdomo kuwa mwekundu,mkuu
Ahsant mkuuNikotini ni sumu ambayo ikikutana na moto hutengeneza utando mdomoni ambao huleta mchubuko kwenye lips
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe muonjaji sio mvutaji ndio maana [emoji23]Navuta sigara,bangi na unga mwaka wa 17 huu, still mdomo wangu sio mwekundu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni chain smoker hatari,saizi napiga chini kila kitu,navuta bangi tuWewe muonjaji sio mvutaji ndio maana [emoji23]
Tena unavuta kwa kuvizia na kujificha kisha unapiga mswaki