A
Mkuu piga ua wewe utakuwa mvuviWewe sidhani kama ni mkazi wa kanda ya ziwa,hiyo ni hali ya kawaida sana ,kiufupi umekurupuka wewe mleta hoja.
Bahati mbaya hujataja hata zana ikiyotumika kuwavua hao samaki,akili yako ilipoona samaki wadogo basi ukajua ni uvuvi haramu.
Jifunze kwa wazoefu wakupe elimu,hao samaki wanaweza vuliwa kwa zana za uvuvi halali ambazo zimehalalishwa na serikali,mfano ni mitego ya dagaa,ambapo kipimo cha serikali kwa nyavu za dagaa ni uwezo wa peni kupenya bila kipingamizi,sasa mvuvi anapoenda kuvua dagaa lazima avue na hao samaki maana ni wakubwa kuliko dagaa.
Siku nyingine jielimishe,sio kuzua taharuki.
Waletee vifaa vya kuvulia samakiKiwango Cha uvuvi haramu katika ziwa Victoria kimefikia hatua ya kuvua vifaranga vya Sangara. Hivi ni vifaranga vya Sangara vikiuzwa soko la Bugashani Bukoba.
Je, wataalamu pamoja na kitengo cha kudhibiti uvuvi haramu wanalipwa mishahara kwa kazi gani?
Serikali na mamlaka zake imeridhika na madudu yanayoendelea ziwa Victoria?
View attachment 2850547